Jinsi ya kuongeza Maji ya Mwili kwa njia nyingine mbali na Kunywa Maji mengi
Jinsi ya kuongeza Maji ya Mwili kwa njia nyingine mbali na Kunywa Maji mengi
Wataalam wa afya Wanashauri kunywa maji mengi kila siku, angalau kuanzia lita 2.5 mpaka 3 kwa siku, hii itasaidia mwili wako kuwa na maji ya kutosha,
Tunafahamu kwamba Moja ya njia ya kuongeza Maji mwilini ni kuhakikisha unakunywa Maji mengi, Ila kwa hapa kuna Njia nyingine pia zakutumia ili kukusaidia Mwili wako kuwa na Maji ya kutosha;
1. Hakikisha unakula Mboga za Majani pamoja na Matunda, mfano; mboga jamii ya SPINACH, Kula Matando, Pamoja na Tunda la Tikiti maji n.k
2. Epuka matumizi ya Pombe kupita Kiasi
3. Unaweza kupata Supu baridi yaani Cold Soup kama vile ya Kuku n.k
4. Kunywa maji ya Madafu au Nazi yaani Coconut Water
5. Kula Oat Meal pamoja na Chia Seeds mara kwa mara
6. Pata Ice Coffee N.k