Kumbuka Haya kama Una allergy na Dawa Zenye Sulphur
Kumbuka Haya kama Una allergy na Dawa Zenye Sulphur,
Baadhi ya watu wakitumia tu Dawa zenye Sulphur ndani yake huanza kupata reactions mbali mbali mwilini,
Kama vile;
– Kuchubuka ngozi ya mwili
– Kuwa kama Umeungua kwenye Mikono
– Kubabuka Sana kwenye ngozi
– Mwili kuwashwa Sana
– Kutokwa na vipele mwilini n.k
Ukiona unapata reactions kama hizi baada ya kutumia dawa zenye SULPHUR ndani yake;
Hakikisha ukienda hosptal kabla Daktari wako hajakuandikia dawa,
Mkumbushe kwamba unapata shida kama hizi baada ya kutumia Dawa zenye Sulphur ndani yake,
Ili Daktari akusaidie kukubadilishia dawa endapo dawa anazotaka kukuandikia zina Sulphur ndani yake.
Soma Hapa:Baadhi ya Dawa Zenye Sulphur Ndani Yake