Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

Viazi vitamu na Faida zake Mwilini,Soma hapa baadhi ya Faida za Viazi vitamu

Viazi vitamu na Faida zake Mwilini,Soma hapa baadhi ya Faida za Viazi vitamu,

Ni dhahiri kwamba vitu vingi vya asili ikiwemo mboga za Majani,Matunda n.k vina faida sana Mwilini,

Baadhi ya Faida za Viazi Vitamu ni Hizi Hapa;

– Kusaidia kwenye Afya Ya macho, viazi vitamu vina antioxidants zinazojulikana kama anthocyanins ambazo ni faida kwa Macho

– Viazi vitamu huweza kusaidia kuboresha mfumo wa umeng’enyaji wa chakula

– Viazi vitamu huweza kupunguza hatari ya kupata Saratani, hii ni kwa Sababu ya uwepo wa antioxidants kwenye gamba la viazi vitamu au ngozi yake

– Viazi vitamu pia huweza kuwa faida kuzuia hatari ya kupata Kisukari hasa type 2 diabetes. N.k

Pia ni muhimu zaidi kuuliza kwa Wataalam wa afya na Lishe ili kupata maelekezo sahihi juu ya kutumia vitu kama Hivi.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.