Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

NJIA YA UZAZI WA MPANGO AINA YA KIJITI(au kwa jina lingine kipandikizi)

 KIPANDIKIZI

• • • • •

NJIA YA UZAZI WA MPANGO AINA YA KIJITI(au kwa jina lingine kipandikizi)

Hii ni njia ya uzazi wa mpango ambayo hutumiwa na idadi kubwa ya wanawake, ikiwemo wale ambao wametumia njia nyingine za uzazi wa mpango kama sindano baada ya kupata madhara wakahamia hapa,pamoja na watumiaji  wengine ambao ni wapya.

Njia ya kijiti imegawanyika katika aina mbili kulingana na muda wa kuzuia mtu asipate mimba. Makundi hayo ni kama ifuatavyo;

(i). Kuna kijiti cha miaka 3; Hiki huzuia mimba katika kipindi cha miaka mitatu.

(ii). Kuna kijiti cha miaka 5; ambapo hapa vinakuwa vijiti viwili ambavyo huwekwa vyote kwa pamoja na kuzuia mimba kwa kipindi cha miaka mitano.

MAUDHI YA NJIA HII AU KWA KITAALAM SIDE EFFECTS ZA NJIA HII YA KIJITI

– Kupatwa na maumivu makali ya kichwa mara kwa mara

– Kubadilika kwa mzunguko wako wa hedhi

– Kupata blid ya vitone vitone ambavyo havieleweki na vinavyotoka bila mpangilio

– Kupatwa na shida ya mvurugiko wa vichocheo vyako vya mwili

– Kupata maumivu sehemu kilipowekwa kwa siku za mwanzoni

– Kupatwa na hali ya kichefuchefu cha mara kwa mara

– Baadhi kuongeza uzito

– Na kwa baadhi kukonda pia

– Kublid damu nyingi na kwa muda mrefu kwa baadhi ya watu

– Kukaa muda mrefu pasipo kuona sku zako za hedhi

N.K

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

[sc_fs_multi_faq headline-0=”h3″ question-0=”Madhara ya Kutumia Vidonge vya Uzazi wa mpango?” answer-0=”Mbali na maudhi madogo madogo ambayo huweza kutokea kwa njia karibu zote zenye vichocheo ndani yake,Tafiti zinaonyesha matumizi ya Vidonge kwa Muda mrefu zaidi mfano kwa Miaka 5, huweza kukuweka kwenye hatari zaidi ya Kupata Saratani ya mlango wa kizazi(cervical cancer).” image-0=”” headline-1=”h3″ question-1=”Madhara ya Sindano za Uzazi wa mpango” answer-1=”Moja ya madhara ya Sindano za Uzazi ni kusababisha Mwanamke kukaa kwa muda mrefu bila kubeba mimba pale anapohitaji kubeba(Long-infertility period),kulainisha mifupa n.k.” image-1=”” count=”2″ html=”true” css_class=””]

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.