Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

MAZIWA FRESH SIYO DAWA YA VIDONDA VYA TUMBO, BALI NI HATARI ZAIDI

MAZIWA FRESH

• • • • • •

MAZIWA FRESH SIYO DAWA YA VIDONDA VYA TUMBO, BALI NI HATARI ZAIDI..!!!


Maziwa si dawa ya vidonda vya tumbo. Huleta unafuu kwa muda tu na baada ya hapo yanasababisha tumbo kutengeneza tindikali (asidi) nyingi na kukuumiza zaidi ikiwemo vidonda kuchimbika zaidi na hata kutoboka. Hivyo, ukiwa na vidonda vya tumbo, usinywe maziwa ya aina yoyote!


Maziwa hutengeneza utando kwenye sehemu za tumbo zilizo jeruhiwa hivyo kufanya maumivu haya ya tumbo yapungue kwa muda mchache,lakini huwa na tabia ya kusisimua uzalishwaji wa tindikali za tumboni (Hydrochloric acid) ambayo baada ya kuisha kwa utando uliotengenezwa na maziwa husababisha maumivu makali zaidi kwa wagonjwa. Hii ndiyo sababu inayofanya wagonjwa wa vidonda vya tumbo wapitie kipindi cha maumivu makali sana ya tumbo,hasa saa chache baada ya kunywa maziwa

Kwa kuwa maziwa ni mojawapo ya vyanzo vya virutubisho bora kabisa kwa binadamu,na baadhi ya watu hawawezi kabisa kuacha kutumia hivyo basi ni vyema yakatumika baada ya kupata mlo mwingine (baada ya kushiba vyakula vingine). Kumbuka kuwa hata wakati huu pia yasitumike mengi sana,pia hakikisha hutumii wakati una njaa kali kwani faida ni chache kuliko ukubwa wa maumivu utakayopata!


Kama unasumbuliwa na tatizo ili la vidonda vya tumbo kwa muda mrefu bila kupata matibabu sahihi, Usijali kabisa, Habari njema ni kwamba tunayo njia ambayo imeleta furaha kwa wengi wenye tatizo ili katika kutibu na kuondokana na tatizo ilo kabisa. Wasiliana nasi kupata msaada na huduma zetu



Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.