Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

Zaidi ya watoto Million 30 wenye umri wa chini ya Miaka 5 wanasumbuliwa na tatizo la Utapiamlo(acute Malnutrition)

Zaidi ya watoto Million 30 wenye umri wa chini ya Miaka 5 wanasumbuliwa na tatizo la Utapiamlo(acute Malnutrition)

Tatizo la Utapiamlo-acute malnutrition au wasting huendelea kusumbua watoto wengi zaidi Duniani,

Hasa Watoto wenye umri wa chini ya Miaka5,

Tatizo hili linataka suluhisho la haraka kwani zaidi ya nchi 15 Duniani,watoto wapo kwenye hali mbaya zaidi.

Na chanzo kikubwa cha tatizo hili ni uwepo wa NJAA, hivo kupelekea watoto wengi kukosa mlo kamili wenye virutubisho vinavyohitajika mwilini(unprecedented food & nutrition crisis).

Majanga kama vile VITA,MABADILIKO YA HALI YA HEWA ikiwemo Ukame,Mafuriko n.k, Madhara yanayoendelea kutokana na janga la UVIKO-19 Pamoja na kupanda sana kwa Garama za Maisha,

vyote hivi huchangia kwa kiasi kikubwa sana ongezeko la Tatizo hili.

Credits:World Food program

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.