Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

FAHAMU TATIZO LA KUUMWA KICHWA KWA MUDA MREFU/MARA KWA MARA NA SULUHU ZAKE

KICHWA

• • • • • •

FAHAMU TATIZO LA KUUMWA KICHWA KWA MUDA MREFU/MARA KWA MARA  NA SULUHU ZAKE


Tatizo hili la kuumwa na kichwa limegawanyika katika sehemu kuu nyingi sana japokuwa 1% yake ni ashirio la matatizo ya kiafya ambayo yameadvance sana km vile concusion of brain, meningitis, encephalitis na stroke. Kuumwa na kichwa inawezatokana na matatizo ya taya, meno au hata kula vitu vya baridi zaidi, vyakula vyenye nitrite au monosodium glutamate. Sehemu ambazo huuma ni kama mfumo wa fahamu ambao upo kwenye fuvu la kichwa, badhi ya neva za fahamu zilizoko usoni.


Yafuatayo ni baadhi ya maumivu ya kichwa….


1. NERVOUS TENSION HEADACHES

Ni maumivu ya kichwa endelevu upande mmoja au pande zote za misuli ya shingo na upande wa juu wa mgongo, kuumwa na kichwa pamoja na kusinzia. Tumia Vitamin B2 na C. Punguza au acha matumizi ya sukari, kahawa, chakula chenye kukusababishia mzio, misongo ya mawazo na ufanye mazoezi ya kutosha.


2. CLUSTER  HEADACHES

Kichwa kuumwa hasa upande mmoja wa kichwa hasa kwa maumivu makali, machozi humtoka mtu na makamasi kwa mbali. Kitu cha kwanza kufanya ni kutumia chakula chenye protin ya kutosha, epukana na chakula chenye mzio wako

3. HANG OVER  HEADACHES

Hii ni hali ya kuumwa kichwa kutokana na matumizi makubwa ya vinywaji vikali hasa pombe. Weka barafu chini ya kichwa yaani maeneo ya kisogoni au shingoni, kunywa maji mengi na juice ya matunda fresh au uache kabisa pombe


4. EXERTION HEADACHES

Hutokea pale ambapo mwili utatumika sana na hasa kwenye NGONO, Weka barafu eneo linalouma, kula mlo kamili na ufanye mazoezi

5. CAFFEIN HEAD ACHES

Hutokea pale ambapo umeacha matumizi makubwa sana ya kahawa/Energy drinks kwa ghafla. Kunywa kiasi kidogo cha kahawa/energy drinks kuondoa maumivu na upunguze matumizi ya kahawa/energy drinks kidogokidogo mpaka utakapoacha kabisa


6. SINUS HEADACHES

Maumivu haya huanzia upande wa kulia na kushoto wa pua na kupanda mpaka kichwani. Kula vyakula vya Vitamin C kwa wingi na umuone mtaalamu wa Afya maana saa zingine hutokana na maambukizi



Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.