Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Homa ya Dengi Yaua watu 100

Zaidi ya watu elfu moja wamefariki dunia nchini Bangladesh, kufuatia mlipuko wa homa ya Dengi (Dengue Fever).

Taarifa kutoka Mamlaka za afya nchini Bangladesh zimeeleza kuwa takwimu hizo ni katika kipindi cha kuanzia mwezi Januari, 2023 hadi sasa ambapo kati ya watu hao waliofariki dunia watoto ni 100.

Katika kipindi hicho watu 208,00 wameugua homa.ya Dengi nchini Bangladesh.

Mabadiliko ya hali ya hewa ikiwemo kuongezeka kwa joto kunatajwa kusababisha ongezeko la maambukizi ya homa hiyo ya Dengi.

Forum Manager

Content creator&editor (Ms.Asifiwe)Jukumu langu kwako ni kuhakikisha unapata elimu ya kutosha pamoja na Updates mbali mbali ndani ya http://cdp.pvh.mybluehost.me  Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.