Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Tahadhari juu ya Upepo Mkali na Mawimbi Makubwa-TMA

Tahadhari juu ya Upepo Mkali na Mawimbi Makubwa-TMA

TMA yatoa Tahadhari juu ya Matarajio ya hali ya hewa mbaya kwa Siku hizi,

Kuanzia Ijumaa ya Tarehe 20/01/2023 mpaka Jumatatu ya Tarehe 23/01/2023

Upepo Mkali na mawimbi Makubwa yanatarajiwa ukanda wa Pwani ya Bahari ya Hindi, watumiaji wa Bahari tuwe makini kuepuka madhara.

ANGALIZO:

Angalizo la Upepo Mkali unaofikia Kilomita 40 kwa Saa na Mawimbi makubwa yanayofikia Mita 2.0,

Angalizo hili limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wa Pwani ya bahari ya Hindi

( Mikoa ya Lindi, Mtwara,Tanga,Pwani(Ikijumuisha Visiwa vya Mafia)

Dar es Salaam na Visiwa vya Unguja na Pemba)

Athari zinazoweza kujitokeza ni kuathirika kwa baadhi ya Shughuli za Uvuvi na Usafirishaji baharini.

Tafadhali Chukua Hatua..!!!!

SOMA ZAIDI HAPA CHINI KWENYE TAARIFA YA TMA.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.