Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Je kumeza vidonge vya Majira kwa Muda mrefu ni salama?

Mbali na maudhi madogo madogo(side effects) ambayo unaweza kuyapata kwenye karibia kila njia ya Uzazi wa mpango,

matumizi ya Vidonge vya Uzazi wa mpango(Oral contraceptives pills) kwa Muda mrefu sio Salama kwako,

baadhi ya Tafiti zinaonyesha, matumizi ya vidonge vya uzazi wa mpango kwa muda mrefu mfululizo,mfano kwa miaka 5 n.k

Huweza kukuweka kwenye hatari zaidi ya Kupata saratani ya Mlango wa Kizazi yaani Cervical cancer.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.