Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

TATIZO LA KUOTA MENO MENGI KINYWANI(HYPERDONTIA)

HYPERDONTIA

• • • • • •

Hyperdontia ni tatizo linalosababisha meno mengi yaote kinywani (mdomoni). Meno haya ya ziada huchomoza sehemu yoyote ile mdomoni,mara nyingi huongezeka kadri umri wa mhusika unavyozidi kuwa mkubwa na hutokea kwa wanaume mara nyingi zaidi kuliko wanawake.

Sababu za kutokea kwa tatizo hili huwa hazipo wazi sana,lakini huhusishwa na chembechembe za urithi. Baadhi ya makundi ya tatizo hili huwa hayahitaji matibabu,huku mengine yakihitaji matibabu ya ung’oaji wa meno ya ziada. 


Via.sainiyaafya


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!



Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.