Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

DONDOO ZA KUKUSAIDIA UPATE MIMBA KIURAHISI

DONDOO ZA KUKUSAIDIA UPATE MIMBA KIURAHISI

Mke na Mume wake,au mwanamke na mwanaume Wakijaribu kupata mimba bila mafanikio ndani ya Mwaka mmoja wa kufanya tendo la ndoa mara kwa mara,ni UGUMBA au UTASA,

Chanzo cha Tatizo yaweza kuwa Mwanaume,au mwanamke au wote kwa pamoja wakawa na Shida!


Mnapo pata shida kufanikisha kupata mimba/mtoto,Mabadiliko ya Lifestyle Yanaweza changia sana kuongezea uwezo wa kupata Mimba kwa mwanamke.


Dondoo zinazosaidia ni kama ifuatavyo


1.Kuepuka vyakula au kupunguza refined carbs(kiswahil kwenye u daktari mwe,Pagumu??,point Is mfano badala ya sembe kula dona,badala ya mkate mweupe wa kawaida kula ule brown,the same na wali,kula vyakula vyenye FIBER nyingi zaidi unapata madini mengi zaid .


2.epuka Pombe /sigara zinafanya yai au mbegu ya kiume kuwa Haina ubora unaofaa .


3.fanya mazoezi kwa afya yanasaidia sana kuweka homons zikae sawa mwilin,ukifanya mazoezi cells za mwili zinapumua,so excess homons zinatolewa.and Kwa WENYE BMI kubwa,PUNGUZA UZITO,uzito unasababisha sana matatizo ya homons,fats aka mafuta si mazuri kwa uzazi,lakin PIA BMI ndogo sana,unakuta mdada miaka 23 BMI 18…KUwa mwembamba sana kwaleta Ugumba pia.


4.Jitahidi kupata muda wa kutosha kupumzika na ku relax…maana ukiwa na stress kuna baadhi ya kemikali zinakuwa juu mwilin zinazuia upatikanaji wa mimba,distruct ur self,pata moments ku refresh akili yako….


5.Have regular proper sex,Jua siku zako za hatari cheza nazo,na hapa hatushauri sex za KILA SIKU KILA SIKU,hapana ,mwanaume anatakiwa pata muda walau hata siku moja au mbili au 3,ili mwil wake Uandae sperms zenye ubora wa kurutubisha


6.vyakula vyenye Folic acid kwa wingi kama mayai,spinach,machungwa,pia vyakula vyenye madini ya Zinc kwa wingi kama Korosho,vyakula vyenye Omega 3(mafuta ya Samaki), kwa Wingi na Maji mengi ni MUHIMU SANA


7.lakin pia Kuna madini mbali mbali yanayosaidia sana Mwanamke mfumo wake wa uzazi ukae Sawa,hormones ziwe balanced,na ant oxidants kwa ajil ya ku clear infection pia,yaan fertility supplements ni Muhimi sana kwa wanaotafuta MIMBA/MTOTO.nichek uzipate hizi….nzur sana,nawapata wanawake asilimia kuwa wanafanikiwa


8.hakikisha mwaka ukipita bila mafanikio,MNACHUNGUZWA  WOTE na kutibiwa accordingly.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!



Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.