Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

Magonjwa yenye chanjo,Soma zaidi Hapa

Magonjwa yenye chanjo,Soma zaidi Hapa

Katika Makala hii tumeorodhesha baadhi ya magonjwa yenye chanjo,magonjwa ambayo huweza kukingwa kwa kutumia chanjo.

Magonjwa yenye chanjo

Hii hapa ni orodha ya baadhi ya Magonjwa yenye chanjo,magonjwa ambayo huweza kukingwa kwa kutumia chanjo;

1. Ugonjwa wa Saratani ya Mlango wa kizazi(cervical cancer)

Ambapo kuna chanjo ya Kuzuia maambukizi ya kirusi cha human papilloma Virus(HPV)

Maambukizi ya kurusi cha Human papilloma Virus(HPV), ni miongoni mwa sababu kubwa za uwepo wa tatizo la Saratani ya Mlango wa kizazi.

2. Tatizo la Uviko-19(COVID-19)

Hii pia ni miongoni mwa Magonjwa yenye chanjo

3. Tatizo la Diphtheria

4. Ugonjwa wa homa ya Ini(Hepatitis B)

Hii pia ni miongoni mwa Magonjwa yenye chanjo.

5. Ugonjwa wa Surua(Measles)

6. Ugonjwa wa Polio

Ugonjwa wa polio ni miongoni mwa Magonjwa yenye chanjo

7. Tatizo la Pertusis,Rabies n.k

8. Ugonjwa wa kuharisha kutokana na maambukizi ya kirusi cha Rotavirus

9. Tatizo la Pepopunda au Ugonjwa wa tetenus

10. Maambukizi ya rubella,Kifaduro n.k

Haya ni miongoni mwa Magonjwa yenye chanjo, Magonjwa ambayo huweza kukingwa kwa kutumia chanjo(Vaccines).

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.