Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

Dawa ambazo ukizimeza ukiwa na HIV ukaenda kupima majibu yanakuja Negative.

Dawa ambazo ukizimeza ukiwa na HIV ukaenda kupima majibu yanakuja Negative.

Kipimo bora cha uchunguzi wa HIV kitatambua kwa usahihi watu wote walio na Maambukizi ya virusi vya ukimwi(HIV) na wasio na HIV kwa asilimia 100% wakati wote,

Hata hivo, Ingawa vipimo vingi vya HIV ni sahihi sana, havifikii usahihi kwa asilimia 100%.

Fahamu baadhi ya terms zinazotumika kitaalam kama vile False negative;

False negative- ni pale ambapo kipimo cha HIV kinaonyesha matokeo ni Negative au hauna maambukizi wakati unayo.

Na mara nyingi majibu ya HIV ambayo ni False negative huweza kutokea wakati mtu akifanya vipimo kwenye wiki za mwanzoni kabsa baada ya kupata maambukizi, ambapo ugonjwa ukiwa bado kwenye kipindi cha ‘window period’.

Kwa wakati huu, viashirio vya maambukizi (p24 antigen na antibodies) ambavyo vipimo hutafuta vinaweza kuwa havipo au bado vipo kwa kiwango kidogo sana mwilini kiasi kwamba vipimo vya HIV haviwezi kudetect.

Fahamu kwamba;Vipimo vya HIV haviwezi kuchukua kwa uhakika matukio yote ya maambukizi wakati wa “window period”.

Dawa ambazo ukizimeza ukiwa na HIV ukaenda kupima majibu yanakuja Negative

Dawa ambazo ukizimeza ukiwa na HIV ukaenda kupima majibu yanakuja Negative hata kama una maambukizi ni zipi?

Zipo baadhi ya Cases ambazo zimewahi kuriportiwa kwamba;

Mtu huweza kupata matokeo ya HIV negative hata kama ni muathirika(False negatives) endapo anatumia baadhi ya dawa kama vile;

  • Dawa za HIV(antiretroviral medicines),
  • pre-exposure prophylaxis (PrEP)
  • au post-exposure prophylaxis (PEP).

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.