Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Hali ya manjano kwa vichanga saa 24-baada ya kuzaliwa ni tatizo la kiafya-Dkt. Mollel

Hali ya manjano kwa vichanga saa 24-baada ya kuzaliwa ni tatizo la kiafya-Dkt. Mollel

Na WAF, Bungeni Dodoma

Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amebainisha kuwa, tafiti zinaonesha hali ya umanjano ikitokea kwa mtoto mchanga ndani ya saa 24 baada ya kuzaliwa inaonesha tatizo la kiafya (Pathological ) na tiba stahiki zinahitajika baada ya kutambua tatizo hilo.

Dkt. Mollel amesema hayo leo Juni 15, 2023 wakati akijibu swali la Mbunge wa viti maalumu Mhe. Lucy John Sabu, Bungeni Jijini Dodoma.

Amesema, tatizo hili likitokea baada ya masaa 24, mara nyingi linatokana na sababu za kawaida za mwili wa mtoto kupunguza chembechembe nyekundu nyingi alizokuwa nazo tumboni kwa Mama, hata hivyo hili pia uchunguzi wa kina ni muhimu ili kujihakikishia.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.