Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Kuzuia na Kudhibiti Maambukizi maeneo ya Vituo vya afya-Infection Prevention and Control (IPC)

Kuzuia na Kudhibiti Maambukizi maeneo ya Vituo vya afya-Infection Prevention and Control (IPC).

Je IPC inazingatiwa kwenye hospital,Vituo vya afya,Zahati,maabara n.k?

Swala la Kuzuia na Kudhibiti Maambukizi maeneo ya Vituo vya afya yaani “Infection Prevention and Control (IPC)”  ni muhimu sana ili kuzuia kuenea kwa magonjwa mbali mbali,

Njia za Kuzuia na Kudhibiti Maambukizi ya magonjwa mbali mbali maeneo ya Vituo vya afya-Infection Prevention and Control (IPC) ni pamoja na;

  • Kuzingatia sana Swala la usafi wa mikono(hand hygiene),
  • kufanya uchunguzi wa mapema(early screening)
  • Pamoja na kutengwa kwa mgonjwa(patient isolation)

Vyote hivi ni muhimu sana katika kuzuia kuenea kwa magonjwa. ✅

Pia Janga la Korona(COVID19) limetoa fursa ya kipekee ya kuboresha IPC kote;kwenye maeneo mbali mbali,

Janga hili limeonyesha umuhimu mkubwa wa kuzingatia “IPC” kwenye kila eneo.

NB: Kama ni mfanyakazi wa afya hakikisha unazingatia sana na kufuata kanuni zote za “IPC” ili Kuzuia na Kudhibiti Maambukizi ya magonjwa mbali mbali kwa wagonjwa wako pamoja na wafanyakazi wenzako.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.