SUDAN:Miezi 3 ya vurugu,Vifo zaidi ya 1000,majeruhi 12,000+ na watu zaidi ya millioni 3+ kuhama makazi
SUDAN:Miezi 3 ya vurugu,Vifo zaidi ya 1000,majeruhi 12,000+ na watu zaidi ya millioni 3+ kuhama makazi:
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani(WHO) Dr. Tedros Adhanom Ghebreyesus anasema;
Imekuwa miezi 3 ya vurugu nchini #Sudan, na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 1000, majeruhi 12,000+ na watu zaidi ya millioni 3+ waliohama makazi yao,
Pia kuna ukosefu wa maji, umeme, dawa na huduma za afya.
Tunatoa wito kwa pande zote:
-Waache mashambulizi kwenye afya
– Na pia wahakikishe ufikiaji wa huduma za kibinadamu kila mahali.
It’s been 3 months of violence in #Sudan, resulting in 1000+ deaths, 12,000+ injuries, 3+ million displacements, lack of access to water, electricity, medicines and healthcare.
We urge the all parties to:
-cease attacks on health
-ensure humanitarian access everywhere.— Tedros Adhanom Ghebreyesus (@DrTedros) July 15, 2023