Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

WHO:Miezi mitatu ya vurugu nchini #Sudan: Hali ya kiafya kwa Sasa

Kwa Mujibu wa Takwimu za Shirika la Afya duniani(WHO) Kuhusu hali ilivyo nchini Sudani kwa Sasa,Kwa upande wa Afya!

Hii ni ndani ya Siku 100 Za machafuko nchini Sudani;

1. Watu Million 24 wanahitaji msaada wa kibinadamu
2. Asilimia 67% ya hospitali hazina huduma

?24M in need of humanitarian aid
?67% of hospitals out of service

3. Watu Million 2.6 kuhama makazi ndani ya nchi(Internally displaced)

Wakati watu 757,000 kulazimika kukimbia kwa kuvuka mipaka

4. Wanawake na watoto Million 4 kuwa na tatizo la Ukosefu wa lishe au Utapiamlo(Malnourished)

5. Wanawake na Wasichana Million 4 kuwa kwenye hatari kubwa ya kufanyiwa ukatili wa kijinsia(gender-based violence)

6. Kuongezeka kwa hatari ya Magonjwa ya Mlipuko, ikiwemo ongezeko la magonjwa kama vile;

  • Homa ya Dengue
  • Ugonjwa wa Surua(measles)
  • Magonjwa ya kuhara n.k

7. Mashambulio 51 kwenye huduma ya afya.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.