KENYA:Mh. Nakhumicha S. Wafula, anasema viwango vya NHIF vitarekebishwa kutoka 500 hadi 300
Katibu wa Baraza la Mawaziri wa Afya nchini Kenya, Mh.Nakhumicha S. Wafula, anasema viwango vya NHIF vitarekebishwa kutoka 500 hadi 300.
Akizungumza katika Kaunti ya Bungoma leo, Waziri huyo pia alitangaza kuwa bilioni 4.1 zimetengwa katika bajeti ya mwaka huu kusaidia mpango wa Linda Mama, mpango wa uzazi bila malipo.
“Speaking in Bungoma County today, the CS also announced that 4.1 billion has been allocated in this year’s financial budget to support the Linda Mama program, a free maternity program”.
Serikali inafanyia marekebisho Kemsa na NHIF huku pia ikiwapa Vifaa community health promoters.
Mipango hii inalenga kuboresha huduma za afya pamoja na upatikanaji wake nchini Kenya.
The Cabinet Secretary for Health, Nakhumicha S. Wafula, says NHIF rates will be revised from 500 to 300. Speaking in Bungoma County today, the CS also announced that 4.1 billion has been allocated in this year's financial budget to support the Linda Mama program, a free maternity… pic.twitter.com/b6HxboinCI
— Ministry of Health (@MOH_Kenya) August 5, 2023