Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

CHANJO: Njia ya nyongeza ya kudhibiti kipindupindu

Ingawa Chanjo ni zana muhimu sana katika udhibiti wa Kipindupindu, Lakini sio suluhisho pekee la ugonjwa huu.Upatikanaji wa maji safi na usafi wa mazingira ni muhimu vile vile katika kuzuia na kudhibiti Kipindupindu.

Kwa hiyo OCV(Oral Cholera Vaccine) HAIBADILI hatua zingine muhimu za kuzuia na kudhibiti kipindupindu. Ni hatua ya nyongeza ya kupunguza maambukizi ya kipindupindu na ni lazima itekelezwe pamoja na upatikanaji wa maji ya kunywa na hatua nyingine za usafi wa mazingira katika ngazi ya jamii pamoja na uboreshaji wa muda mrefu wa miundo mbinu ya WASH.

Forum Manager

Content creator&editor (Ms.Asifiwe)Jukumu langu kwako ni kuhakikisha unapata elimu ya kutosha pamoja na Updates mbali mbali ndani ya http://cdp.pvh.mybluehost.me  Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.