Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

Usichanganye Dawa aina ya Aspirin pamoja na warfarin,(Ushauri)

Usichanganye Dawa aina ya Aspirin pamoja na warfarin,(Ushauri)

Baadhi ya tafiti zimetahadharisha matumizi ya dawa aina ya Aspirin Pamoja na Warfarin,

Tafiti hizi zimeshauri kuepuka matumizi ya dawa hizi mbili kwa Pamoja.

Dawa hizi Aspirin pamoja na warfarin huelezewa zaidi kama blood thinners,

Watafiti wanasema,matumizi ya dawa hizi mbili kwa Pamoja muda mmoja,huongeza hatari zaidi ya tatizo la Mtu Kuvuja damu kupita kiasi yaani excessive bleeding.

Hii ni kwa Mujibu wa Watafiti kutoka Chuo cha Michigan”University of Michigan” ambao walikuwa wanafanya tafiti ya madhara ya kutumia aspirin pamoja na warfarin.

• Tafiti ilihusisha washiriki 6,700 ambao walitumia dawa jamii ya aspirin pamoja na warfarin,

Watafiti waligundua kwamba, wakati washiriki walipopunguza matumizi ya Aspirin kwa asilimia 46%, na tatizo la bleeding hupungua au kushuka kwa zaidi ya asilimia 32%.

Washiriki hawa walikuwa wagonjwa ambao wanatibiwa kwenye clinic zinazojulikana kama “anticoagulation clinics” huko Michigan,wakiwa na matatizo kama vile; venous thromboembolism  pamoja na atrial fibrillation.

Anazidi kuweka Msisitizo juu ya Umuhimu mkubwa wa Utafiti huu, Dr.Jeffrey Berger, ambaye ni cardiologist huko New York Langone Health,ingawa hakuwa mhusika kwenye utafiti huu,

Na haya ni maneno yake;

“This is a very important study,” said Dr. Jeffrey Berger, a cardiologist at NYU Langone Health in the Department of Medicine in the Leon H. Charney Division of Cardiology in New York who was not part of the study.

#Research:University of Michigan

#Category:DAWA&TIBA

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.