Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Ufadhili wa ndoa 70 za vijana wasiokuwa na uwezo wa kutoa mahari

Ndoa 70 za vijana wasiokuwa na uwezo wa kutoa mahari zimefungwa kwa pamoja jijini Dar es Salaaam katika moja ya matukio nadra na adhimu kwa dini ya kiislamu nchini Tanzania.

Zaidi ya shiling milioni 70 za kitanzania zimetolewa kama mahari kwa ajili ya vijana hao kutoka mikoa 12 ya Tanzania bara na Visiwani kati ya vijana zaidi ya 1,000 walioomba kusaidiwa kuoa.

Mwandishi wa BBC Yusuph Mazimu alishuhudia tukio hilo na kuandaa taarifa hii.

DailyStories

Karibu DailyStories Kwa Taarifa Zote Muhimu ndani na Nje. More Updates everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me  Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.