Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

Mgonjwa kuunganishwa tena kiungo kilichokatwa nchini Kenya

Jumapili hii, Timu ya Upasuaji MRTH yapewa Pongezi KWA matibabu,ambapo ilifaulu kuambatanisha tena kiungo kilichokatwa kwa Mgonjwa,

Mgonjwa huyo, mwanamume mwenye umri wa miaka 35, alikatwa kiganja cha Mkono wa Kushoto.

Timu ya MTRH ilifanya kazi katika timu mbili, kurekebisha/kuunganisha tena kiungo pamoja na uwekaji mishipa. Upasuaji huo ulichukua zaidi ya saa 11 kukamilika.

Asubuhi ya leo, mgonjwa huyo alihamishwa kutoka ICU na kupelekwa Wodi ya Madaktari Wakuu wa Mifupa ambako ataendelea na ukaguzi wa kila siku.

Hongera kwa timu ya Upasuaji katika MTRH:

Francis Kosgei – Clinical Nurse Educator (CNE), Theatres
Sharon Cherotich – Perioperative Nursing Officer (NO)
Nehemiah Nyainda – Perioperative NO
Rose Keino NO, Post Anaesthesia Care Unit (PACU)
Caren Cherotich – Student Nurse
Oscar Ang’anda- Student Nurse
Michael Omondi- Clinical Officer (CO) Anaesthetist
Ezra Samoita-CO Anaesthetist
Dr Brian Christie- Plastic Surgeon, Indiana University (IU)
Dr Andrew Vernadi- Plastic Surgeon, IU
Dr Gregory Wekesa- MTRH COSECSA Orthopaedics & Trauma Resident.
Dr Harsh Vadgama- MTRH Consultant Orthopaedics & Trauma (Shoulder Surgeon)
Dr Paul Mwangi – Team Leader MTRH Consultant Orthopaedics & Trauma (Hand Surgeon).

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.