Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

Jana Cameroon ilizindua kampeni ya siku 5 ya chanjo dhidi ya kipindupindu,watu Million 1.8 kufikiwa

Jana Cameroon ilizindua kampeni ya siku 5 ya chanjo dhidi ya kipindupindu,watu Million 1.8 kufikiwa:

Siku ya Jana nchi ya Cameroon?? ilizindua kampeni ya siku 5 ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa kipindupindu katika wilaya 11 zilizoathirika zaidi,

Kampeni hii inalenga kuwafikia watu milioni 1.8 wenye umri wa mwaka mmoja na kuendelea kwa dozi moja ya chanjo hiyo ya kumeza.

Yesterday #Cameroon?? launched a 5-day #cholera vaccination campaign in 11 of the most affected health districts, aiming to reach 1.8 million people aged one year and above with one dose of the oral vaccine.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.