Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

Tukio la kushangaza Mama, Baba na mapacha wao wachanga wote wanasherekea siku moja ya kuzaliwa

Tukio la kushangaza Mama, Baba na mapacha wao wachanga wote wanasherekea siku moja ya kuzaliwa

Kuna uwezekano gani?! Mama, Baba na mapacha wao wachanga wote washerekee siku moja ya kuzaliwa?

Tukio hili la kushangaza Dunia limetokea Jana katika hospital ya Hillcrest nchini Marekani, ambapo Mama,baba na watoto wao mapacha wamezaliwa tarehe hiyo hiyo moja ambayo inafanana kwa wote.

Hii ina maana, Baba, Mama na watoto wao Mapacha wamezaliwa tarehe moja na mwezi mmoja ambayo ni Tarehe 18  mwezi August.

Mapacha hao(A-ria na José) walizaliwa wakiwa na uzito wa zaidi ya paundi tano katika Hospitali ya Hillcrest. Hongera Scierra na José kwa watoto wao wazuri na wenye afya bora!

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.