Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Kuna aina nyingi za matatizo ya utumbo. Dalili hutofautiana sana kulingana na tatizo

Fahamu kwamba, matatizo ya Tumbo yapo mengi ambayo huweza kuathiri mfumo mzima wa umeng’enyaji wa chakula,

Kuna aina nyingi za matatizo ya utumbo. Dalili hutofautiana sana kulingana na tatizo. Dalili zinaweza kujumuisha:

✓ Kujisaidia kinyesi kilichochangayika na damu

✓ Kubadilika kwa choo ikiwemo kukosa choo kabsa, kupata choo kidogo sana n.k

✓ Kupata maumivu makali ya Tumbo

✓ Uzito wa mwili kupungua kwa Kasi Sana

✓ Kupata Kiungulia Mara kwa Mara

✓ kupata tatizo la Tumbo kujaa gesi n.k

Check this:.

Blood in your stool
Changes in bowel habits
Severe abdominal pain
Unintentional weight loss
Heartburn

Ukiona dalili zozote zungumza na wataalam wa afya kwanza,ili kupata msaada.

AU KWA USHAURI ZAidi na Tiba Link in Afyaclass…Contact +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.