Uhusiano kati ya milipuko ya Magonjwa na mabadiliko ya hali ya hewa unazidi kuwa wazi:KENYA
Uhusiano kati ya milipuko ya Magonjwa na mabadiliko ya hali ya hewa unazidi kuwa wazi.
Tuko kwenye ukingo wa kukumbana na matokeo. Lengo letu lazima liwe katika utambuzi wa mapema wa milipuko.
Huku nchi 33 zikiripoti kesi za polio, kampeni yetu ni thabiti katika kuwalinda watoto.
Ili kuzuia milipuko hii, tunahitaji mifumo thabiti ya afya ya msingi ili kugundua visa. Ni lazima tutetee watoto wetu wanufaike na sayansi inayopatikana.
Chanjo ni salama. Wazazi, walezi, viongozi wa dini waungane kuhakikisha watoto wanapata chanjo. – Dk Patrick Amoth, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Afya Kenya.
The connection between outbreaks and climate change is becoming clearer. We're on the brink of experiencing the consequences. Our focus must be on early outbreak detection. With 33 countries reporting polio cases, our campaign is resolute in safeguarding children. To prevent… pic.twitter.com/VU5kOInEg7
— Ministry of Health (@MOH_Kenya) August 22, 2023