Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Mbwa afichua mabaki ya mwili wa mwalimu Lightness

Mbwa afichua mabaki ya mwili wa mwalimu Lightness

Mabaki ya mwili wa Mwalimu wa Shule ya awali meneo la Shabaha Kata ya Bomambuzi Mkoani Kilimanjaro ambaye alikuwa hajulikani alipo kwa siku 30, Lightness Elia (29), yamefukuliwa na mbwa katika shamba la miwa TPC na kuburuzwa hadi pembezoni mwa barabara kando na shamba hilo.

Mabaki ya mwili wa Mwalimu wa Shule ya awali meneo la Shabaha Kata ya Bomambuzi Mkoani Kilimanjaro ambaye alikuwa hajulikani alipo kwa siku 30, Lightness Elia (29), yamefukuliwa na mbwa katika shamba la miwa TPC na kuburuzwa hadi pembezoni mwa barabara kando na shamba hilo. Diwani wa Kata ya Bomang’ombe, Juma Raibu ambaye alifika eneo la tukio na kuliita Jeshi la Polisi amesema alipokuwa eneo la tukio walikuta rasta zake na pochi lakini fuvu lake au kichwa chake bado havijaonekana.

DailyStories

Karibu DailyStories Kwa Taarifa Zote Muhimu ndani na Nje. More Updates everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me  Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.