UGONJWA WA MASUNDO SUNDO YA ULIMI((condylomata acuminata tongue)
Ugonjwa huu unaitwa masundo sundo ya ulimi (condylomata acuminata tongue). Hali hii husabababishwa na kirusi aitwae human papilloma virus (HPV).
Watu wanaopata Hali hii ni wale wanaonyonya nyonya sehemu za Siri hovyo yaani kufanya mapenzi ya mdomo na mtu mwenye virusi Hawa.
Kuepuka tatizo hilo Baki njia kuu ,Baki na wako ,anatosha tu
Kirusi hiki cha Human papilloma virus(HPV) huweza kusababisha magonjwa mengine kama vile:
– Ugonjwa wa genital warts yaani masundo sundo sehemu za siri
– Ugonjwa wa saratani ya shingo ya kizazi yaani Cervical cancer
– Pamoja na magonjwa mengine ya Zinaa
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.