KENYA;Zaidi ya watu milioni 1.6 wapewa chanjo ya kipindupindu
KENYA;Zaidi ya watu milioni 1.6 wapewa chanjo ya kuzuia Ugonjwa wa kipindupindu:
Kwa Mujibu wa Wizara ya Afya nchini Kenya;
Zaidi ya watu milioni 1.6 walichanjwa katika kampeni ya hivi punde ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa kipindupindu,
na watoto milioni 1.95 walichanjwa katika kampeni ya polio.
Wizara ya afya nchini kenya inasema;
“Kampeni zetu za hivi majuzi zimepata matokeo mazuri – zaidi ya watu milioni 1.6 walichanjwa katika kampeni ya kipindupindu na watoto milioni 1.95 walichanjwa katika kampeni ya polio”.
“????? ?? ?????? ?????????? ??????? ?? ??? ?????? ??????? ??????? ??? ?????.
Our recent campaigns have achieved remarkable results – over 1.6 million vaccinated in cholera campaign and 1.95 million children vaccinated in polio campaign”.
πππ§π²π π’π¬ π¦ππ€π’π§π π’π§ππ«πππ’ππ₯π π¬ππ«π’πππ¬ π’π§ ππ‘π πππππ₯π ππ ππ’π§π¬π ππ‘π¨π₯ππ«π ππ§π π©π¨π₯π’π¨.
Our recent campaigns have achieved remarkable results – over 1.6 million vaccinated in cholera campaign and 1.95 million children vaccinatedβ¦ pic.twitter.com/6yNUErpHn7— Ministry of Health (@MOH_Kenya) September 2, 2023