Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Mmoja wa tausi mkazi katika Palais akiwa katika mapumziko

Mmoja wa tausi mkazi katika Palais des Nations akipumzika katika bustani ya Ariana , makazi ya #UmojawaMataifa huko Geneva, #Switzerland.

Ni jambo la kawaida kuona ndege hao wakubwa wakizurura kwa uhuru kwenye uwanja wa UN Geneva. Baadhi yao ni zawadi kutoka #Japani mwaka 1997, huku wengine wakiwa ni zawadi kutoka kwa Ubalozi wa Kudumu wa #India. Ndege hao hulishwa na kutunzwa na watunza bustani wa Ariana.

Umoja wa Mataifa jijini Geneva ni kitovu cha diplomasia ya kimataifa. Jengo hili kawaida huhudumia zaidi ya mikutano 8,000 kila mwaka, na kuifanya kuwa mojawapo ya vituo vya mikutano vyenye shughuli nyingi zaidi duniani.

DailyStories

Karibu DailyStories Kwa Taarifa Zote Muhimu ndani na Nje. More Updates everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me  Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.