Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

Roboneka amemshika mtoto wake mchanga aliyelala kwa sura ya upendo

Roboneka amemshika mtoto wake mchanga aliyelala kwa sura ya upendo

Alikuwa mjamzito alipowasili katika Kambi ya Wahamiaji ya Bulengo huku kukiwa na vita Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ambapo wanawake wajawazito 56,500 wameyakimbia makazi yao.

Kwa bahati nzuri, wakunga wanaosaidiwa na @‌unfpa walihakikisha amejifungua salama katika kliniki inayohamishika ya afya.

Ulimwenguni kote, wenzetu kutoka @unfpa wanafanya kazi ya kutoa huduma za afya na uzazi kwa wanawake na wasichana walio katika mazingira magumu, ikiwa ni pamoja na wale walio katika majanga ya kibinadamu.

Regram: @‌unfpa | ?: UNFPA DRC/Junior Mayindu

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.