Yanga Yatamba kushika nafasi ya tatu Afrika
Pande zote kulia na kushoto kuna tambo za Wananchi @alikamwe na @privaldinho kuhusu orodha ya IFFHS inayoonesha kuwa Yanga imeshika namba 3 kwenye Club za Afrika ambapo Priva yeye ameandika ——> “Wakati IFFHS inatoa hizi takwimu hapo awali zilitrend sana, sasa sielewi kwann mmetelekeza takwimu zao za hivi karibuni au hazijawapendeza?”
Alikamwe yeye anasema ———> “Shirikisho la kimataifa la kutunza Takwimu na Historia za mpira wa miguu Duniani ‘IFFHS’ Limetoa Orodha ya timu bora Afrika Hivi sasa ?
Wananchi @yangasc Tumeshika nafasi ya 3️⃣ Na ndio Klabu Pekee Afrika Mashariki na Kati iliyoingia kwenye 10 Bora.
Nb: Takwimu za IFFHS zinatunzwa pia kwenye rekodi za Shirikisho la Mpira wa miguu Duniani ‘FIFA’?”