Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

Tafiti 34 zaonyesha kahawa kupandisha presha ndani ya saa 3

Ukaguzi wa tafiti 34 ulionyesha kuwa miligramu 200–300 za kafeini kutoka kwa kahawa — sawa na vikombe 1.5–2— vilisababisha ongezeko la wastani wa 8 mmHg na 6 mmHg katika shinikizo la damu la systolic na diastolic blood pressure,

Athari hii ilionekana ndani ya saa tatu baada ya matumizi ya kahawa.

• Usitumie KAHAWA kama tayari una presha ya Kupanda.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.