Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Hotel zakabiliana na mlipuko wa KUNGUNI Ufaransa

“Siku mbili zilizopita tuligundua kunguni na walikuwa tishio,” – mmiliki wa Hoteli ya Montlhery Paris Sud

Huwezi kujua kama wanasambaa kati ya chumba hadi chumba, na unaweza kushtakiwa ikiwa mgeni ataumwa vibaya, alisema.

Hoteli yake ni moja ya makampuni mengi yanayotafuta suluhu huku kukiwa na ongezeko la milipuko wa kunguni ulioripotiwa nchini Ufaransa na Uingereza.

Na makampuni sasa yanageukia teknolojia ya zamani na mpya ili kupata ufumbuzi na kuzuia kuenea zaidi.

Montlhery Paris Sud ililazimika kulipa kampuni ya kudhibiti wadudu zaidi ya dola 1,500 ili kukomesha wadudu hao kabla ya kuenea.

Je umewahi kukutana na wadudu hawa? ulitumia njia gani kutokomeza?

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.