Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

HESLB waongeza Siku 7,dirisha la kuwasilisha maombi

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) @heslb_tanzania imetoa taarifa Wanafunzi waombaji mikopo ya elimu kwa ngazi ya Stashahada(Diploma) na umma kwa ujumla kuwa dirisha la kuwasilisha maombi kwa njia ya mtandao litakuwa wazi hadi Jumapili October 29, 2023.

Uamuzi wa kuongeza muda wa siku saba (7) unalenga kutoa fursa kwa waombaji wenye sifa ambao hawajaomba au hawajakamilisha maombi yao, kuomba na kukamilisha maombi yao ndani ya muda ulioongezwa.

Awali dirisha lilifunguliwa Jumamosi October 07,2023 na lilipanga kufungwa Jumapili October 22,2023.

DailyStories

Karibu DailyStories Kwa Taarifa Zote Muhimu ndani na Nje. More Updates everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me  Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.