News
Bima ya afya kwa wote kuendelea kutambua CHF
Bima ya afya kwa wote kuendelea kutambua CHF
“Katika kufikia lengo la Bima ya Afya kwa Wote na kwa kutambua uzoefu na uwekezaji uliofanywa na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF),
Serikali inapendekeza kufanya marekebisho kwa kuanzisha kitita cha bima ya afya cha jamii (Community Health Insurance Package – CHIP) ikiwa ni mpango mbadala wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) ambapo Sheria iliyoanzisha Mfuko huo inapendekezwa kufutwa na kuianzisha upya chini ya sheria hii” Waziri @ummymwalimu