DAWA YA VIPELE KWENYE NGOZI
VIPELE
• • • • •
DAWA YA VIPELE KWENYE NGOZI
Watu wengi husumbuliwa na tatizo la vipele kwenye ngozi,huku wengine vipele vikitokea muda flani au baada ya kutumia vitu flani nakupotea, je hii ina maana gani?
vipele kwenye ngozi huweza kusababishwa na Sababu mbali mbali kama vile;
– Allergy juu ya vitu flani mfano; aina flani ya mafuta ya kupaka kwenye ngozi
– Vipele kwa sababu ya hali ya kimazingira kama vile; joto sana au baridi sana
– Magonjwa ya ngozi
– Maambukizi ya vimelea mbali mbali vya magonjwa kama vile; bacteria,Fangasi au Virusi
n.k
DAWA YA VIPELE KWENYE NGOZI
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.