Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Bibi Harusi Mtarajiwa na Mama yake mzazi Wafariki Kwa Ajali Siku Chache Kabla Ya Harusi

Bibi harusi, Rehema Chao mkazi wa Morogoro, amefariki dunia akiwa na mama yake mzazi na dada wa kazi wakati wakielekea Moshi kwa ajili ya harusi iliyokuwa ifanyike Jumamosi hii ya Desemba 2, 2023.

Rehema na wenzake hao wamefariki kwenye ajali iliyohusisha gari lao dogo na lori kubwa wakiwa wanatokea mkoani Morogoro kuelekea harusini Moshi.

Umauti umemkuta Rehema siku chache baada ya kufanya ‘send-off’ yake iliyofanyika hivi karibuni mkoani Morogoro.

Ajali hiyo mbaya iliyosababisha barabara kufungwa kwa zaidi ya saa sita ilitokea maeneo ya Mwanga katika Barabara Kuu ya kuelekea Moshi.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass