Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

Blood group ambayo mtoto anaweza kuwa nayo baada ya kuzaliwa na Wazazi wake

 

Blood group ambayo mtoto anaweza kuwa nayo baada ya kuzaliwa

Katika makala hii fahamu kuhusu Kundi la damu la mtoto ambalo anaweza kuwa nalo kutoka kwa wazazi wake baada ya mtoto kuzaliwa,

Soma Zaidi hapa kuhusu Makundi ya Damu kwa Wazazi na watoto watakao wazaa;

Makundi ya damu kwa wazazi na Mtoto(Tazama vizuri kwenye Picha)

(A) Makundi ya Damu

1. Wazazi wote wawili 1,2(Baba na Mama) wakiwa na Blood group A wote wanaweza kuzaa;

  • Mtoto mwenye blood group A au O(A,O)

2.Ikiwa Mzazi mmoja ana blood group A na Mzazi wa pili ana blood group B wanaweza kuzaa;

  • Mtoto mwenye blood group A,B,AB,au O

3.Ikiwa Mzazi mmoja ana blood group A na Mzazi wa pili ana blood group AB wanaweza kuzaa;

  • Mtoto mwenye blood group A,B au AB

4.Ikiwa Mzazi mmoja ana blood group A na Mzazi wa pili ana blood group O wanaweza kuzaa;

  • Mtoto mwenye blood group A au O

5.Ikiwa Mzazi mmoja ana blood group B na Mzazi wa pili ana blood group B(wote wawili) wanaweza kuzaa;

  • Mtoto mwenye blood group B au O

6.Ikiwa Mzazi mmoja ana blood group A na Mzazi wa pili ana blood group AB wanaweza kuzaa;

  • Mtoto mwenye blood group A, B au AB

7.Ikiwa Mzazi mmoja ana blood group B na Mzazi wa pili ana blood group O wanaweza kuzaa;

  • Mtoto mwenye blood group B au O

8.Ikiwa Mzazi mmoja ana blood group AB na Mzazi wa pili ana blood group AB(wote wawili) wanaweza kuzaa;

  • Mtoto mwenye blood group A,B au AB

9.Ikiwa Mzazi mmoja ana blood group AB na Mzazi wa pili ana blood group O wanaweza kuzaa;

  • Mtoto mwenye blood group A au B

10.Ikiwa Mzazi mmoja ana blood group O na Mzazi wa pili ana blood group O(Wote wawili) wanaweza kuzaa;

  • Mtoto mwenye blood group O pekee

(B) rhesus Factor

– Ikiwa wazazi wote wawili wana rhesus factor positive(+) wanaweza kuzaa;

✓ Mtoto mwenye rhesus factor Positive(+) au Negative(-)

– Ikiwa mzazi mmoja ana rhesus factor Positive(+) na mwingine ana rhesu factor Negative(-) wanaweza kuzaa;

✓ Mtoto mwenye rhesus factor Positive(+) au Negative(-)

–  Ikiwa wazazi wote wawili hawana rhesus factor au ni Negative(-) wanaweza kuzaa;

✓ Mtoto rhesus factor Negative(-) pekee.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass