FANYA VITU HIVI JIKINGE NA SARATANI
Zipo aina nyingi sana za saratani ambazo baadhi yake ni kama vile;
Saratani ya mapafu
Saratani ya la matiti
Saratani ya mlango wa kizazi
Saratani ya Damu
Saratani ya Koo
Saratani ya Ubongo
Saratani ya Utumbo n.k
FANYA VITU HIVI JIKINGE NA SARATANI HIZO;
-Epuka uvutaji wa sigara
– Punguza uzito wako wa mwili,epuka uzito mkubwa,unene n.k
– Epuka matumizi ya pombe kupita kiasi
– Epuka kukaa kwenye mionzi mikali
– Epuka matumizi ya vyakula vyenye mafuta mengi
– Jijengee utaratibu wa kufanya mazoezi mbali mbali ya mwili kila siku
– Epuka matumizi ya dawa hovio pasipo maelekezo kutoka kwa wataalam
– Epuka kutumia madawa ya kulevyia N.k
Kumbuka; Kinga ni Bora kuliko Tiba,Chukua tahadhari