Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

DALILI ZA UGONJWA WA PID

DALILI ZA UGONJWA WA PID

PID-Pelvic Inflammatory disease,huu ni ugonjwa ambao unahusu maambukizi ya Bacteria kwenye via vya uzazi vya mwanamke.

Je ugonjwa wa PID una dalili gani? soma hapa chini baadhi ya dalili hizo;

1. Mwanamke kupata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa

2. Mwanamke kutokwa na uchafu wenye rangi kama manjano n.k na ambao huambatana na harufu mbaya

3. Mwanamke kupata maumivu makali chini ya kitovu,

kupata maumivu ya tumbo,kiuno na wakati mwingine mgongo

4. Mwanamke kutoa damu wakati wa tendo la ndoa

5. Mwanamke kublid katikati ya mwezi

6. Mwanamke kuvuja damu muda mfupi baada ya tendo la ndoa

7. Na wakati mwingine kupata homa kali na maumivu wakati wa kukojoa. N.k

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.