Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Uzazi/Ujauzito

MAANA YA PMTCT 1 NA PMTCT 2 KWENYE KADI LA MAMA MJAMZITO

MAANA YA PMTCT 1 NA PMTCT 2 KWENYE KADI LA MAMA MJAMZITO

Nmekutana na Maswali mengi sana juu ya hili,

na watu wengi wamekuwa wakihangaika kutaka kujua maana ya haya maneno,

Mama mjamzito anapohudhuria Kliniki moja ya vitu ambavyo anapimwa ni pamoja na Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi au HIV/AIDS.

Baada ya Vipimo hivo,majibu yake hujazwa kwenye kadi la mahudhurio ya kliniki kwa mama mjamzito,

Hapo ndipo tunapoanza kukutana na maneno “PMTCT 1 na PMTCT 2” kwa mara nyingi zaidi.

MAANA YA PMTCT 1 NA PMTCT 2 KWENYE KADI LA MAMA MJAMZITO

PMTCT- ni ufupisho wa maneno haya “Prevention of Mother-To-Child Transmission”

P- Prevention of

M- mother

T- To

C- Child

T- Transmission

Sasa basi tunakuja kwenye PMTCT 1 na PMTCT 2

• PMTCT-1 Hii ina maana ya POSITIVE au Mama huyo mjamzito ana maambukizi ya Virusi vya Ukimwi(HIV/AIDS)

• PMTCT-2 Hii ina maana ya NEGATIVE au Mama huyo mjamzito hana maambukizi yoyote ya ukimwi(HIV/AIDS).

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass