Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

STORY:WHO, SHIRIKA LA AFYA DUNIANI BAADA YA KUMTEMBELEA MKIMBIZI MMOJA ANAITWA JANA WA UKRAINE

STORY:WHO, SHIRIKA LA AFYA DUNIANI BAADA YA KUMTEMBELEA MKIMBIZI MMOJA WA UKRAINE ANAITWA JANA

Wakati mkimbizi mmoja wa Ukraine kutembelewa na WHO(Shirika la afya duniani),

TEAM ya WHO walikutana na mkimbizi mmoja anaitwa JANA ambaye ana mtoto mdogo wa kike aitwaye Olha,

Mtoto huyo alikuwa bado anahitaji chanjo yake ya pili kwa ajili ya kumkinga na Diphtheria.

Kuhakikisha kwamba kila mtu anapata haki yake ya msingi ya chanjo hata kama yupo kwenye mazingira magumu,

Mtoto huyu alipewa chanjo yake kwa ajili ya kumkinga na magonjwa kama walivyo watoto wengine.

Mama mzazi wa mtoto huyu akaonyesha tabasamu kubwa baada ya mtoto wake kupata chanjo kwa ajili ya kumkinga na magonjwa mbali mbali.

HAKIKISHA: Mtoto wako mdogo ambaye umemzaa anapata chanjo zote muhimu kwa ajili ya kumkinga na magonjwa mbali mbali hata kama upo kwenye mazingira gani.

Baadhi ya chanjo hizo ni kama vile;

• Chanjo ya kuzuia kifua kikuu maarufu kama BCG

• Chanjo ya kuzuia ugonjwa wa kupooza au Polio

• Chanjo ya kuzuia mtoto kuharisha maarufu kama ROTAX

• Chanjo ya kuzuia magonjwa matano maarufu kama Pentavalent. N.K

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

WHO TWEET:During a visit to one of the #Ukraine #refugees reception points in ??, the WHO team met Jana, who’s little daughter Olha soon will need her 2nd ?for diphtheria.
Ensuring access to routine immunization is vital to keep everyone safe from preventable diseases. https://t.co/oCwtrNWNyD

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.