Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

p2 inatumika mda gani

P2 INAFANYA KAZI KWA MUDA GANI?

Hizi ni emergence contraceptives ambazo ni maarufu sana kwa jina la P2,

Dawa hizi hutumika Kuzuia mimba kwa dharura kama hujapanga kubeba Mimba,

Hata hivo matumizi ya mara kwa mara ya P2 sio salama kwako,ndyo maana zinaitwa emergence contraceptives,

ila sio njia ya uzazi wa mpango ya kudumu kama wengine wanavyofanya.

P2 INAFANYA KAZI KWA MUDA GANI?

Baadhi ya tafiti zinaonyesha kwamba; P2 itakukinga na Kubeba Mimba kwa asilimia 85%,

• P2 itakukinga na Mimba kwa asilimia 95% endapo umewahi kutumia ndani ya masaa 24 ya kwanza

• Uwezo wa P2 huanza kupungua mpaka asilimia 58%  kama umezitumia kati ya masaa 48 na 72 baada ya kufanya tendo la ndoa.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.