Asilimia ya watoto wanaonyonyeshwa maziwa ya mama pekee imeongezeka kutoka 58% mwaka 2018 hadi kufikia 64% mwaka 2022
(Worldbreastfeeding week)Tukiwa kwenye wiki ya Unyonyeshaji duniani ambayo imeanza tarehe 1-7,
Asilimia ya watoto wanaonyonyeshwa maziwa ya mama pekee imeongezeka kutoka 58% mwaka 2018 hadi kufikia 64% mwaka 2022.
Hayo ni Maelezo ya Dkt. Mollel,Naibu Waziri Afya, ambapo anaeleza;
“Asilimia ya watoto wanaonyonyeshwa maziwa ya mama pekee imeongezeka kutoka 58% mwaka 2018 hadi kufikia 64% mwaka 2022. Vilevile takwimu ya watoto wanaonyonyeshwa ndani ya saa 1 baada ya kuzaliwa imeongezeka kutoka 53.5% mwaka 2018 hadi kufikia 70% mwaka 2022@Dkt. Mollel,Naibu Waziri Afya”
#WikiyaUnyonyeshaji Duniani