MATATIZO AMBAYO YANAONGOZA KUMPATA KILA MTU KWENYE VIPINDI TOFAUTI TOFAUTI VYA MAISHA
MATATIZO AMBAYO YANAONGOZA KUMPATA KILA MTU KWENYE VIPINDI TOFAUTI TOFAUTI VYA MAISHA.
Haya ni baadhi ya matatizo ambayo tafkribani kila mtu hupata kwenye vipindi tofauti tofauti vya maisha, matatizo hayo ni kama vile;
– Maumivu makali ya kichwa mara kwa mara
– Kuhisi kichefuchefu na kutapika
– Kuhisi hali ya kizungu zungu
– Maumivu makali ya tumbo
– Mtu kuanza kuharisha
– Mwili kuwa na joto kuliko kawaida au kuwa na Homa
– Kukosa kabsa hamu ya kula
– Kuhisi hali ya Kiungulia au Heartburn
– Tatizo la kupata choo Kigumu au constipation
– Tatizo la kukosa choo kwa muda flani
– Tatizo la tumbo kujaa gesi sana,kuvimbiwa n.k
KUMBUKA: Dalili hizi huweza kuwa kiashiria cha kuonyesha uwepo wa tatizo flani kwenye mwili wako,
Sio za kupuuzia, ukiona unaanza kupata dalili kama hizi, hyo ni ishara kabsa kwamba kuna kitu hakipo sawa hivo mwili wako unatoa taarifa.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.