DALILI ZA TB KWA MTOTO
DALILI ZA TB KWA MTOTO
Source:Wizara ya Afya | Idara ya Kinga
Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma.
DALILI ZA KIFUA KIKUU (TB) KWA MTOTO MDOGO
• Kikohozi kwa wiki 2 au zaidi
• Homa za mara kwa mara kwa wiki
mbili au zaidi
• Kupungua/kutoongezeka uzito au
kudumaa
• Kuchelewa kukua kama vile
kutambaa au kutembea
• Mtoto kukosa raha; kulialia
kutochangamka au kutocheza
Uonapo mojawapo ya dalili hizi mpeleke mtoto kwenye kituo cha huduma za afya kwa uchunguzi na matibabu
“OKOA MAISHA WEKEZA KATIKA KUTOKOMEZA KIFUA KIKUU NCHINI”
@Elimu ya Afya
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.