Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

TATIZO LA KUTOA HARUFU MBAYA UKENI

TATIZO LA KUTOA HARUFU MBAYA UKENI

Tatizo la kutoa harufu mbaya ukeni

Katika Makala hii tumeelezea Zaidi kuhusu tatizo la kutoa harufu mbaya ukeni pamoja na chanzo chake,Soma hapa.

Shida hii ya kutoa harufu mbaya Ukeni hutokea kwa Wanawake wengi katika vipindi tofauti tofauti kama vile;

  • Wakati wa Hedhi Au baada ya kumaliza hedhi
  •  Wakati wa tendo la ndoa au baada ya Tendo la Ndoa
  • Baada ya kuvuja sana jasho n.k

Na wakati mwingine tatizo la kutoa harufu mbaya ukeni huambatana na kutokwa na uchafu ukeni wenye rangi tofauti tofauti kama vile njano,maziwa mgando n.k

Chanzo cha tatizo la kutoa harufu mbaya ukeni

CHANZO CHA TATIZO LA KUTOA HARUFU MBAYA UKENI NI PAMOJA NA;

– Tatizo la Bacterial Vaginosis,ambapo huhusisha kukuwa kwa kiwango kikubwa(overgrowth) cha Bacteria ukeni,

sababu hi huchangia kwa kiwango kikubwa tatizo la kutoa harufu mbaya ukeni

– Tatizo la Trichomoniasis, ugonjwa huu upo kwenye kundi la magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya ngono yaani Sexual transmitted infections-STI’s

– Swala la uchafu ukiwemo wa nguo za ndani,sehemu za siri pamoja na mwili wako kwa ujumla yaani Poor hygiene,

Hii pia huweza kuchangia mwanamke kuanza kutoa harufu mbaya ukeni

– Kuacha vitu kama pamba,gozi n.k sehemu za siri

– Sababu zingine za tatizo la kutoa harufu mbaya ukeni ni pamoja na;

• Maambukizi ya bacteria kwenye via vya uzazi vya mwanamke-PID(uchafu kutoka ukeni pamoja na harufu)

• Maambukizi ya Fangasi sehemu za siri(uchafu kutoka ukeni pamoja na harufu)

• Na pia sababu hizi hapa chini huchangia ila kwa asilimia ndogo ya Wanawake, kupata tatizo la kutoa harufu mbaya ukeni;

✓ Kansa ya shingo ya kizazi(Cervical cancer)

✓ Kansa ya ukeni(Vaginal cancer)

✓ Tatizo la Fistula hasa aina hii ya Rectovaginal Fistula, ambayo huhusisha uwepo wa tundu kati ya Rectum na Vaginal, hali ambayo hupelekea gesi au kinyesi kutoka kupitia ukeni.

FAQs: Maswali ambayo huulizwa mara kwa mara

Je, ni wakati gani tatizo la kutoa harufu mbaya ukeni husikika?

Shida hii ya kutoa harufu mbaya Ukeni hutokea kwa Wanawake wengi katika vipindi tofauti tofauti kama vile;

  • Wakati wa Hedhi Au baada ya kumaliza hedhi
  •  Wakati wa tendo la ndoa au baada ya Tendo la Ndoa
  • Baada ya kuvuja sana jasho n.k

Hitimisho

Kwa Ujumla tatizo la Kutoa Harufu mbaya Ukeni huweza kusababishwa na Sababu mbali mbali ikiwemo;

– Tatizo la Bacterial Vaginosis,ambapo huhusisha kukuwa kwa kiwango kikubwa(overgrowth) cha Bacteria ukeni,

sababu hi huchangia kwa kiwango kikubwa tatizo la kutoa harufu mbaya ukeni

– Tatizo la Trichomoniasis, ugonjwa huu upo kwenye kundi la magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya ngono yaani Sexual transmitted infections-STI’s

– Swala la uchafu ukiwemo wa nguo za ndani,sehemu za siri pamoja na mwili wako kwa ujumla yaani Poor hygiene,

Hii pia huweza kuchangia mwanamke kuanza kutoa harufu mbaya ukeni

– Kuacha vitu kama pamba,gozi n.k sehemu za siri

– Sababu zingine ni pamoja na;

• Maambukizi ya bacteria kwenye via vya uzazi vya mwanamke-PID(uchafu kutoka ukeni pamoja na harufu)

• Maambukizi ya Fangasi sehemu za siri(uchafu kutoka ukeni pamoja na harufu)

• Na pia sababu hizi hapa chini huchangia ila kwa asilimia ndogo ya Wanawake, kupata tatizo la kutoa harufu mbaya ukeni;

✓ Kansa ya shingo ya kizazi(Cervical cancer)

✓ Kansa ya ukeni(Vaginal cancer)

✓ Tatizo la Fistula hasa aina hii ya Rectovaginal Fistula, ambayo huhusisha uwepo wa tundu kati ya Rectum na Vaginal, hali ambayo hupelekea gesi au kinyesi kutoka kupitia ukeni.

Tatizo la Kutoa Harufu mbaya Ukeni huweza kuambatana na uchafu kutoka ukeni,maumivu wakati wa tendo n.k

Kama una tatizo hili hakikisha unapata msaada wa matibabu kutoka kwa Wataalam wa afya.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.