MADHARA YA KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE
MADHARA YA KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE
Madhara ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile ni pamoja na;
– Kujiweka kwenye hatari ya kupata magonjwa mbali mbali ikiwa ni pamoja na virusi vya ukimwi kutokana na kupata michubuko sehemu ya haja kubwa
– Kulegea kwa misuli ya haja kubwa hivo kusababisha mtu kuwa na tatizo la kinyesi kutoka chenyewe bila kujizuia
– Kuwa katika hatari zaidi ya kupata tatizo la Bawasiri( nyama kutokeza sehemu ya haja kubwa)
– Kupatwa na maambukizi mbali mbali ya magonjwa kama vile; maambukizi kwenye mfumo wa mkojo yaani UTI
– Kuwa katika hatari ya kupata magonjwa mbali mbali ya Zinaa
– Kuwa katika hatari ya kupata tatizo la kansa kwenye njia ya haja kubwa kutokana na mashambulizi ya virusi vya Human papilloma virus(HPV)
– Kuwa katika hatari ya kupatwa na tatizo la homa ya Ini
– Kukosa raha wakati ukifanya mapenzi kawaida
– Kuathiriwa au kuwa addicted na kitendo hiki
– Kuwa katika hatari ya Kupata tatizo la Fangasi
– N.k
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.